Walawi 14:25 BHN

25 Atamchinja huyo mwanakondoo dume wa sadaka ya kuondoa hatia. Kuhani atachukua kiasi cha damu na kumpaka huyo mtu anayetakaswa katika ncha ya sikio lake la kulia, katika kidole gumba cha mkono wake wa kulia na kidole gumba cha mguu wake wa kulia.

Kusoma sura kamili Walawi 14

Mtazamo Walawi 14:25 katika mazingira