Walawi 14:30 BHN

30 Kisha kuhani atamchukua mmoja wa wale hua au njiwa wawili kadiri mtu huyo anavyoweza kuleta.

Kusoma sura kamili Walawi 14

Mtazamo Walawi 14:30 katika mazingira