Walawi 14:9 BHN

9 Siku ya saba atanyoa nywele zake zote, ndevu na kope za macho yake. Kisha atafua mavazi yake na kuoga, ataoga kwa maji; naye atakuwa safi.

Kusoma sura kamili Walawi 14

Mtazamo Walawi 14:9 katika mazingira