Walawi 15:10 BHN

10 Mtu yeyote atakayegusa kitu chochote alichokalia mtu huyo, atakuwa najisi mpaka jioni. Mtu yeyote anayebeba kitu chochote kilichokuwa cha mtu huyo ni lazima ayafue mavazi yake, na kuoga; naye atakuwa najisi mpaka jioni.

Kusoma sura kamili Walawi 15

Mtazamo Walawi 15:10 katika mazingira