17 Vazi lolote lililodondokewa shahawa au ngozi yoyote iliyoguswa na shahawa hiyo ni lazima ioshwe kwa maji, na itakuwa najisi mpaka jioni.
Kusoma sura kamili Walawi 15
Mtazamo Walawi 15:17 katika mazingira