Walawi 15:19 BHN

19 “Mwanamke yeyote anapokuwa mwezini, atakuwa najisi kwa muda wa siku saba. Mtu yeyote atakayemgusa mwanamke huyo atakuwa najisi mpaka jioni.

Kusoma sura kamili Walawi 15

Mtazamo Walawi 15:19 katika mazingira