22 Mtu yeyote atakayegusa kitu chochote anachokalia mwanamke huyo ni lazima ayafue mavazi yake na kuoga kwa maji, naye atakuwa najisi mpaka jioni.
Kusoma sura kamili Walawi 15
Mtazamo Walawi 15:22 katika mazingira