Walawi 15:31 BHN

31 “Ndivyo mtakavyowatahadharisha Waisraeli na unajisi wao, wasije wakaikufuru maskani yangu takatifu iliyo miongoni mwao wakiingia humo na unajisi wao; wakifanya hivyo watauawa.”

Kusoma sura kamili Walawi 15

Mtazamo Walawi 15:31 katika mazingira