Walawi 16:10 BHN

10 Lakini yule beberu aliyetakiwa na kura kwa ajili ya Azazeli atatolewa mbele ya Mwenyezi-Mungu akiwa hai ili kufanya ibada ya upatanisho kuhani atamwacha aende jangwani kwa Azazeli, ili kuondoa dhambi za jumuiya.

Kusoma sura kamili Walawi 16

Mtazamo Walawi 16:10 katika mazingira