13 Ili asije akafa, atauleta ubani huo mbele ya Mwenyezi-Mungu na kuutia katika moto ili moshi wa ubani huo ukifunike kifuniko cha sanduku la agano.
Kusoma sura kamili Walawi 16
Mtazamo Walawi 16:13 katika mazingira