Walawi 16:32 BHN

32 Kuhani aliyepakwa mafuta na kuwekwa wakfu ashike nafasi ya baba yake, ndiye atakayefanya ibada ya upatanisho akiwa amevaa mavazi matakatifu ya kitani.

Kusoma sura kamili Walawi 16

Mtazamo Walawi 16:32 katika mazingira