Walawi 16:6 BHN

6 “Aroni atamtoa huyo fahali sadaka ya kuondoa dhambi kwa ajili yake mwenyewe, na kufanya ibada ya upatanisho kwa ajili yake mwenyewe na jamaa yake.

Kusoma sura kamili Walawi 16

Mtazamo Walawi 16:6 katika mazingira