Walawi 17:4 BHN

4 badala ya kumleta mnyama huyo kwenye mlango wa hema la mkutano ili kumtolea Mwenyezi-Mungu mbele ya maskani yake takatifu, mtu huyo atakuwa na hatia ya kumwaga damu; amemwaga damu na atatengwa na watu wake.

Kusoma sura kamili Walawi 17

Mtazamo Walawi 17:4 katika mazingira