Walawi 18:24 BHN

24 “Msijitie najisi kwa kufanya mambo hayo kwani kwa sababu ya mambo hayo nayafukuza mataifa yaliyo mbele yenu kwa vile wao hufanya hayo na kujitia najisi.

Kusoma sura kamili Walawi 18

Mtazamo Walawi 18:24 katika mazingira