16 Kamwe usipitepite ukiwachongea watu wa jamaa yako. Usiyatie maisha ya jirani yako katika hatari ya kifo kwa maneno yako. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Walawi 19
Mtazamo Walawi 19:16 katika mazingira