Walawi 19:20 BHN

20 “Mwanamume akilala na mwanamke mtumwa ambaye ameposwa na mwanamume mwingine, lakini bado hajakombolewa wala kupewa uhuru, uchunguzi ufanywe. Lakini wasiuawe kwa sababu mwanamke huyo hakuwa bado huru.

Kusoma sura kamili Walawi 19

Mtazamo Walawi 19:20 katika mazingira