Walawi 19:31 BHN

31 “Msiwaendee waaguzi wa mizimu wala wachawi ili kuwaomba wawaagulie na hivyo mkajitia najisi. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kusoma sura kamili Walawi 19

Mtazamo Walawi 19:31 katika mazingira