Walawi 2:9 BHN

9 Kuhani atachukua sehemu ya sadaka hiyo ikiwa ni sadaka ya ukumbusho na kuiteketeza juu ya madhabahu. Hiyo ni sadaka ya kuteketezwa kwa moto yenye harufu nzuri ya kumpendeza Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 2

Mtazamo Walawi 2:9 katika mazingira