Walawi 20:13 BHN

13 Kama mwanamume yeyote akilala na mwanamume mwenzake kana kwamba ni mwanamke, basi, wote wawili ni lazima wauawe kwani wamefanya jambo lililo chukizo; watawajibika kwa umwagaji wa damu yao wenyewe.

Kusoma sura kamili Walawi 20

Mtazamo Walawi 20:13 katika mazingira