Walawi 20:9 BHN

9 Mtu yeyote amlaaniye baba yake au mama yake, ni lazima auawe. Amemlaani baba au mama yake, kwa hiyo damu yake itakuwa juu yake.

Kusoma sura kamili Walawi 20

Mtazamo Walawi 20:9 katika mazingira