Walawi 21:18 BHN

18 Mtu yeyote mwenye dosari sikaribie kunitolea sadaka: Awe kipofu, aliyelemaa, aliyeharibika uso, mwenye kiungo kirefu kuliko kawaida,

Kusoma sura kamili Walawi 21

Mtazamo Walawi 21:18 katika mazingira