Walawi 22:21 BHN

21 Mtu yeyote anapomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya amani ili kutimiza nadhiri au sadaka ya hiari kutoka katika kundi lake la mifugo, ili akubaliwe ni lazima awe ni mnyama mkamilifu; mnyama huyo asiwe na dosari yoyote.

Kusoma sura kamili Walawi 22

Mtazamo Walawi 22:21 katika mazingira