25 Wala usipokee kutoka kwa wageni wanyama wa namna hiyo na kunitolea mimi Mungu wako kama chakula. Wanyama hao wana dosari kwa vile wamekatwa na hawatakubaliwa kwa faida yenu.”
Kusoma sura kamili Walawi 22
Mtazamo Walawi 22:25 katika mazingira