Walawi 22:27 BHN

27 “Fahali, kondoo dume au beberu akizaliwa atabaki na mama yake kwa siku saba. Lakini tangu siku ya nane anaweza kutolewa kwa Mwenyezi-Mungu kama sadaka ya kuteketezwa kwa moto.

Kusoma sura kamili Walawi 22

Mtazamo Walawi 22:27 katika mazingira