Walawi 22:29 BHN

29 Utakaponitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya shukrani utaitoa kwa namna ambayo itakufanya ukubaliwe.

Kusoma sura kamili Walawi 22

Mtazamo Walawi 22:29 katika mazingira