Walawi 22:9 BHN

9 Kwa hiyo, ni lazima makuhani walishike agizo langu, wasije wakafanya dhambi na kuuawa. Mimi Mwenyezi-Mungu ndiye ninayewaweka wakfu.

Kusoma sura kamili Walawi 22

Mtazamo Walawi 22:9 katika mazingira