Walawi 23:19 BHN

19 Mtatoa beberu mmoja wa sadaka ya kuondoa dhambi na wanakondoo madume wawili wa mwaka mmoja kwa ajili ya sadaka za amani.

Kusoma sura kamili Walawi 23

Mtazamo Walawi 23:19 katika mazingira