Walawi 23:24 BHN

24 “Waambie watu wa Israeli hivi: Siku ya kwanza ya mwezi wa saba mtaadhimisha siku ya mapumziko rasmi, siku ya ukumbusho itakayotangazwa kwa mlio wa tarumbeta na kufanya mkutano mtakatifu.

Kusoma sura kamili Walawi 23

Mtazamo Walawi 23:24 katika mazingira