Walawi 23:32 BHN

32 Siku hiyo, itakuwa kwenu Sabato ya mapumziko rasmi na mtafunga. Siku ya Sabato ni siku ya kumi ya mwezi huo tangu jioni hadi jioni inayofuata.”

Kusoma sura kamili Walawi 23

Mtazamo Walawi 23:32 katika mazingira