Walawi 23:34 BHN

34 “Waambie Waisraeli hivi: Tangu siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa saba mtamfanyia Mwenyezi-Mungu sikukuu ya vibanda kwa muda wa siku saba. Hiyo ni sikukuu ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 23

Mtazamo Walawi 23:34 katika mazingira