Walawi 23:43 BHN

43 Jambo hilo litavijulisha vizazi vyenu kuwa nilipowatoa babu zenu nchini Misri, niliwafanya waishi katika vibanda. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”

Kusoma sura kamili Walawi 23

Mtazamo Walawi 23:43 katika mazingira