8 Kwa muda wa siku hizo zote saba mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka za kuteketezwa kwa moto. Katika siku ya saba mtafanya mkutano mtakatifu. Msifanye kazi.”
Kusoma sura kamili Walawi 23
Mtazamo Walawi 23:8 katika mazingira