11 Siku moja yule kijana ambaye mama yake aliitwa Shelomithi binti Dibri wa kabila la Dani, alilikufuru na kulilaani jina la Mungu. Basi watu walimpeleka kijana kwa Mose,
Kusoma sura kamili Walawi 24
Mtazamo Walawi 24:11 katika mazingira