Walawi 24:14 BHN

14 “Mtoe kijana aliyekufuru nje ya kambi, na wale wote waliomsikia akikufuru waweke mikono yao juu ya kichwa chake, na jumuiya yote imuue kwa kumpiga mawe.

Kusoma sura kamili Walawi 24

Mtazamo Walawi 24:14 katika mazingira