Walawi 24:3 BHN

3 Aroni ataiweka taa hiyo ndani ya hema la mkutano, nje ya pazia la sanduku la maamuzi ili ipate kuwaka mbele yangu tangu usiku mpaka asubuhi. Hili ni sharti la kufuata milele katika vizazi vyenu.

Kusoma sura kamili Walawi 24

Mtazamo Walawi 24:3 katika mazingira