Walawi 24:8 BHN

8 Kila siku ya Sabato Aroni ataipanga sawasawa katika safu mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu kwa niaba ya watu wa Israeli kama agano la milele.

Kusoma sura kamili Walawi 24

Mtazamo Walawi 24:8 katika mazingira