16 Kama miaka inayohusika ni mingi utaongeza bei na kama miaka hiyo ni michache utapunguza bei, kwani bei yake itapimwa kulingana na mazao anayokuuzia.
Kusoma sura kamili Walawi 25
Mtazamo Walawi 25:16 katika mazingira