Walawi 25:18 BHN

18 “Kwa hiyo, mtafuata masharti yangu na kutekeleza maagizo yangu, ili mpate kuendelea kuishi kwa usalama katika nchi.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:18 katika mazingira