Walawi 25:2 BHN

2 “Waambie Waisraeli hivi: Mtakapofika katika nchi ninayowapeni mimi Mwenyezi-Mungu kila mwaka wa saba nchi itapumzishwa isilimwe kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:2 katika mazingira