Walawi 25:22 BHN

22 Mtakapopanda katika mwaka wa nane mtakuwa mnakula mazao ya zamani na mtaendelea kula tu hata mwaka wa tisa mtakapoanza tena kuvuna.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:22 katika mazingira