Walawi 25:29 BHN

29 “Kama mtu akiuza nyumba yake ya kuishi iliyo ndani ya mji uliojengewa ukuta, ataweza kuikomboa katika kipindi cha mwaka mmoja tangu alipoiuza. Kwa mwaka huo mzima atakuwa na haki ya kuikomboa.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:29 katika mazingira