35 “Kama ndugu yako amekuwa maskini hata asiweze kujitunza mwenyewe akiwa pamoja nawe, ni lazima umtunze aendelee kuishi nawe; mtendee kama mgeni au msafiri aliye kwako.
Kusoma sura kamili Walawi 25
Mtazamo Walawi 25:35 katika mazingira