Walawi 25:38 BHN

38 Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa nchini Misri ili kukupa nchi ya Kanaani, na ili nami niwe Mungu wako.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:38 katika mazingira