49 Mjomba wake anaweza pia kumkomboa, au binamu yake au ndugu wa karibu katika ukoo wake; anaweza pia kujikomboa yeye mwenyewe kama akiwa tajiri.
Kusoma sura kamili Walawi 25
Mtazamo Walawi 25:49 katika mazingira