Walawi 25:53 BHN

53 Muda wote atakaokuwa kwa bwana wake ni lazima atendewe kama mtumishi aliyeajiriwa kila mwaka. Huyo aliyemnunua asimtendee kwa ukatili.

Kusoma sura kamili Walawi 25

Mtazamo Walawi 25:53 katika mazingira