15 Kama huyo mtu aliyeiweka wakfu akitaka kuikomboa hiyo nyumba, basi, ataongeza asilimia ishirini ya thamani yake, nayo itakuwa mali yake.
Kusoma sura kamili Walawi 27
Mtazamo Walawi 27:15 katika mazingira