Walawi 27:21 BHN

21 Katika mwaka wa ukumbusho wa miaka hamsini shamba hilo litaachiliwa na kuwa lake Mwenyezi-Mungu milele. Kuhani ndiye atakayelimiliki.

Kusoma sura kamili Walawi 27

Mtazamo Walawi 27:21 katika mazingira