Walawi 4:18 BHN

18 Kisha, sehemu ya damu atazipaka pembe za madhabahu iliyoko katika hema la mkutano mbele ya Mwenyezi-Mungu. Damu inayobaki ataimwaga chini kwenye tako la madhabahu ya kuteketezea sadaka iliyo karibu na mlango wa hema la mkutano.

Kusoma sura kamili Walawi 4

Mtazamo Walawi 4:18 katika mazingira