Walawi 4:24 BHN

24 Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha beberu na kumchinjia mahali wanapochinjia sadaka za kuteketezwa mbele ya Mwenyezi-Mungu; hiyo ni sadaka ya kuondoa dhambi.

Kusoma sura kamili Walawi 4

Mtazamo Walawi 4:24 katika mazingira