Walawi 4:29 BHN

29 Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha mbuzi huyo wa sadaka ya kuondoa dhambi, na kumchinjia mahali wanapochinjia wanyama wa sadaka za kuteketezwa.

Kusoma sura kamili Walawi 4

Mtazamo Walawi 4:29 katika mazingira